Taarifa kwa UMMA kuhusu ajira ya Sensa
Taarifa kwa umma kuhusu sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imetoa tangazo hili na kulitolea ufafanuzi. Soma zaidi HAPA
Pia Kamisaa wa Sensa Anna Makinda, amesema baadhi ya Watanzania wanapenda uongo kutokana na maneno ya uzushi yanayozagaa mitandaoni kwamba majina ya wasimamizi wa Sensa hayatoki kwa sababu wameweka watoto wao, na kusema majina yakitoka waombaji wote wenye sifa watachukuliwa.
Labels: News
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home