Monday, 16 April 2018

King of Music wa Tanzania Anaoa Lakini ...


Muda sio Mrefu King of Music wa Tanzania Anaoa Lakini Kinachonisikitisha ni Kweli Aly kiba Hajaona Bongo



Siku zote inajulikana king of music wa bongo hana skendo mbaya anajitahidi sana kuziepuka na sasa king kiba anaoa hivi karibuni.

Ameshatoa taarifa kwa watu muhimu muhimu akiwa na mpambe wake ommy dimpoz

Sasa kinachonisikitisha kweli Tanzania nzima hakuna msichana anaejielewa mpaka amehama nchi ameenda kutafuta Kenya.

Kweli wasichana wa bongo hapa mmekosa sifa ya kuolewa na king kiba, Hii ni aibu mpaka kijana kama huyu anaenda nje ya nchi kuoa.

Dada zetu mjirekebishe jamani au ally kiba kaamua kuwachunia tu, Ay naye nasikia alioa Rwanda huko.

Mpunguzeni mapepe wasichana wa Bongo.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home