Vigogo katika ligi ya EPL wachezea kichapo jana
![]() |
Bao pekee la mchezo huo limefungwa na Rodriguez katika dakika ya 73 ya kipindi cha pili.
Matokeo yameifanya United iendelee kusalia kwenye nafasi ya pili ikiwa na alama 71 huku ikicheza michezo ya ligi 33 mpaka sasa.
Kufuatia kufungwa kwa Man United hali hiyo imewapa Ubingwa wa Ligi hiyo ya Ulaya majirani zao Man City kwani kwa sasa hakuna team itakayoweza kumfikia kwa point alizonazo hadi sasa.
Na katika uwanja wa St James' Park, Newcastle imeibuka na ushindi wa bao 2 kwa 1 dhidi ya Arsenal na hivyo kuifanya Arsenal kuendelea kubaki nafasi ya sita katika msimamo huo wa ligi ya Uingereza.
Labels: Sports
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home