Baada ya Kutandikwa Bao Nne Yanga Kurejea Dar Leo
![]() |
Yanga ilikubali kuanza vibaya dhidi ya USM Alger kwa kufungwa idadi ya mabao 4-0, mechi ikipigwa majira ya saa 4 usiku wa jana.
Yanga itaanza safari yake kwa kupitia nchini Dubai kisha kuanza tena safari ya kuendelea kurejea Tanzania.
Matokeo hayo ni mwanzo mbaya kwa Yana kutokana na kipigo hicho kikali ambapo sasa inahitaji kuweka nguvu nyingi katika michezo mingine itakayofuata kwenye kundi hilo.
Ukiachana na USM Alger, ikumbukwe Yanga ipo na timu za Rayon Sports ya Rwanda na Gor Mahia FC ya Kenya.
Labels: Sports
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home