Simba Noma Yaendelea Kusafisha Njia ya Ubingwa Yamchapa Mbeya City Jioni ya Leo
Dakika 90 za mchezo wa Simba vs Mbeya City zimemalizika kwa mnyama kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya vijana Green City. Simba sasa imefikisha pointi 55, tofauti ya pointi 8 mbele ya Yanga ambao wana mchezo mmoja mkononi.
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home