Tuesday, 10 April 2018

Mheshimiwa Makonda Ajitosa na kwa Wakina Baba Waliotelekezwa ...


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Ajitosa na kwa Wakina Baba Waliotelekezwa "Kama Kuna Kinababa Wametelekezwa Waje Tuwasaidie"



Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka kina baba wote ambao wametelekezwa na kina mama kufika ofisini kwake ili kutoa malalamiko yao ili wapatiwe msaada wa kisheria kama ilivyo kwa kina mama



Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home