Liverpool wameibuka na Ushindi kwenye Dimba lao la Anfield 5-2 dhidi ya As Roma, Shughuli inahamia Roma wiki ijayo kwenye Mchezo wa Marudiano Je Roma. Watafanya ‘Come Back’ kama walivyofanya kwa Barcelona au Liverpool watafanya kile walichomfanyia Man City..
Labels: Sports
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home