Jeshi la Nigeria lafanikiwa kuwaokoa watu 149 wakiwemo watoto na wanawake
Jeshi la Nigeria lafanikiwa kuwaokoa watu 149 wakiwemo watoto na wanawake
![]() |
Wanawake na watoto 95 ambao walikuwa wakishikiliwa mateka katika kijiji cha Yerimari Kura wameweza kuokolewa baada ya jeshi la Nigeria kufanya operesheni katika eneo hilo ambalo lilikuwa linadhibitiwa na kundi la Boko haramu.
Wakati huo huo jeshi hilo limedai kuwaua wapiganaji watatu wa Boko haramu na wengine watano wamekamatwa na jeshi hilo wakati wa operesheni ya kuwaokoa watu waliotekwa na kundi hilo.
Labels: News
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home