Hivi ndio Man United Walivyobadili ubao wa Matokeo Etihad vs Man City
![]() |
Kipindi cha pili pamoja na Man United kuwa ugenini wanaonekana kuja na plan B iliyowafanya wapate ushindi wa magoli 3-2, magoli ya mapema ya Paul Pogba yaliofungwa dakika ya 53 na dakika ya 55 yanaonekana kuwatoa mchezoni Man City kwa kiasi flani kitu ambacho kiliwafanya Man United wapate goli la ushindi dakika ya 69 kupitia kwa beki wao Chris Smalling.
Labels: Sports
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home