Mboni Stunned In Katty Collection Designs
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids.

Labels: Fashion
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home