Mchezo uliochezwa jana kati ya Liverpool dhidi ya Man City umemalizika huku Liverpool ikiibuka
 |
Jurgen Klopp akishangilia Liverpool walipojihakikishia ushindi katika hatua ya kwanza dhidi ya Manchester City |
kidedea wa mechi hiyo kwa magoli 3 huku wageni wakiambulia nunge. Magoli hayo ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah, Alex Oxlade-Chamberlain and Sadio Mane katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Mchezo mwingine uliochezwa jana ulikuwa ule wa Barcelona dhidi ya Roma ambapo Barcelona wameibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 yaliyofungwa na Gerrad Pique dakika ya 59 pamoja na Luis Suarez dakika ya 87 yakiwemo mabao mawili team pinzani iliyojifunga yenyewe(De Rossi OG 38, Manolas OG 56) na bao pekee la As Roma limepachikwa na Dzeko dakika ya 79.
Labels: Sports
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home