Tangazo la kuitwa Kazini
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 15–26 Februari, 2018 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo nikama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.Katika orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Kuona majina ya walioitwa kazini CLICK HERE
Labels: Event


0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home