Wednesday, 14 March 2018

Manchester United Yatolewa Kwenye Michuano ya ...


Manchester United Yatolewa Kwenye Michuano ya Champions League

Man United moja ya Team kutoka Uingereza zilizokuwa zimebaki katika mashindano ya UEFA imeyaaga mashindano hayo baada ya kufungwa bao 2-1 dhidi ya Sevilla kutoka Uhispania katika ligi ya Laliga usiku wa kuamkia leo..





Hakuna aliyetarajia kutokana na uwezo mkubwa wa Man United na rekodi mbovu ya Sevilla nchini Uingereza lakini tangu dakika ya kwanza mpira ulianza kuonekana kama unawaelemea Man United walikua wakicheza kawaida sana.

Mchezo mwingine uliopigwa usiku huu Eden Dzeko aliivusha As Roma kwenda robo fainali baada ya kufunga bao pekee mbele ya Shakhtar Donetski, Roma wamefuzu kwa faida ya bao la ugenini.

Labels:

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home